- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi
wa maji Kiloleli ambao utafaidisha vijiji vitatu, kulia ni Mbunge wa Jimbo la
Busega Dkt. Raphael Chegeni. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Masanza Kona,
Kiloleli wilaya ya Busega mkoani Simiyu. (Picha na Ofisi wa Makamu wa Rais).
Mbunge wa Jimbo la Busega Dkt. Raphael Chegeni akizungumza mbele ya Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa
kusalimia wananchi waliojitokeza kwa wingi barabarani eneo la Nyashimo
kumsalimia Makamu wa Rais ambaye ameanza ziara ya siku tano mkoani Simiyu.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba za
Viongozi wa Mkoa katika eneo la Nyaumata, kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.
Anthony Mtaka. (Picha na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa Dini mara baada
ya kuwasili Ikulu Ndogo, Bariadi, mkoani Simiyu. (Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais)
Comments
Post a Comment