Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira
na Muungano January Makamba
akikagua timu wakati wa mechi ya Ligi Daraja la kwanza baina ya Coastal
Union na Polisi dar uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini
Tanga na kumalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao
1-1.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira
na Muungano January Makamba
kulia akikagua timu wakati wa mechi ya Ligi Daraja la kwanza baina ya
Coastal Union na Polisi dar uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani
mjini Tanga na kumalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao
1-1.kushoto ni Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union Steven
Mguto
 |
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
katika akishiriki kwenye uhamasishaji wa nyimbo wakati timu ya Coastal
Union ilipocheza na Polisi Dar kwenye mchezo uliomalizika kwa timu hizo
kutoka sare ya kufungana bao 1-1. |
 |
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu
katikati akitokea kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mara baada ya
kumalizika kwa mchezo huo |
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira
na Muungano January Makamba akizungumza na timu zote mbili
kabla ya kuanza mchezo huo leo
Waachezaji wa timu zote
mbili wakisalimiana kabla ya kuanza mchezo huo
Kikosi cha timu ya
Coastal Union ambacho kimeanza dhidi ya Polisi dar leo
Kikosi cha timu ya Polisi
Dar ambacho kimecheza dhidi ya Coastal Union leo
Mchezaji wa timu ya Coastal Union
kushoto akiwani mpira dhidi ya wa Polisi Dar katika mchezo wa Ligi
daraja la kwanza uliochezwa kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani mjini Tanga
na kumalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1.(Habari
kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
Comments
Post a Comment