- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
TANZIA: BIBI LULU AKIDA SILVESTER AFARIKI DUNIA, MSIBA UKO SINZA MKABALA NA KITUO CHA SIMU 2000 DAR ES SALAAM
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
TANZIA:
Familia ya Bwana Sylvester Manase Matunda Lema, wa Sinza mkabala na kituo cha
daladala Simu 2000 jijini Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha mama
yao, Bibi.Lulu Sylvester kilichotokea katika Hospitali ya Agha Khan tarehe 20/01/ 2018 majira ya saa 10;30
alfajiri.
Maandalizi
ya mazishi yanafanyika nyumbani kwa marehemu Sinza mkabala na kituo cha
daladala Simu 2000.
Mwili
utaagwa Jumatano Januari 24, 2018 kuanzia saa 8 mchana Kanisani KKKT Usharika wa Sinza -Kumekucha.
Mwili
wa marehemu utasafirishwa siku ya Alhamisi tarehe 25/01/2018 kuelekea Kijiji
cha Nronga-Machame, wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro.
Comments
Post a Comment