- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Mtukufu Mfalme Shaikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi, alipofika
katika makazi yake akiwa katika ziara ya kutembelea Nchi za Umoja wa Falme za
Kiarabu UAE. Kushoto Viongozi wa Juu wa Serikali.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa
na mwenyeji wake Mtukufu Sheikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi Supreme Council
Member and Ruler of Sharjah, wakielekea katika chumba cha mkutano baada ya
kuwasili katika Makazi yake kwa mazungumzo
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, na
Mtukufu Shaikh Sultan Bin Mohammed, Al Qasimi Supreme Council Member and Ruler
of Sharjah, wakifurahia jambo wakati wa mazungumzo yao yaliofanyika katika
jengo la Makaazi ya Mfalme Sharjah.
MTUKUFU
Mfalme Shaikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi akiwa katika mazungumzo na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipofika
katika makaazi yake Mjini Sharjah,wakati wa ziara yake katika Nchi za Umoja wa
Nchi za Mafme za Kiarabu UAE
Ujumbe walioongozana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi katika ziara yake katika Nchi za Umoja wa Falme za Nchi za Kiarabu UAE.
Viongozi wa Juu wa Serikali ya Mfalme wa Sharjah wakiwa katika ukumbi wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa
na mwenyeji wake Shaikh Sultani Bin Mohammed wakitoka katika ukumbi wa mkutano
baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliofanyika katika makaazi yake Nchini
Sharjah
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na mwenyeji wake Mtukufu Shaikh Sultani Bin Mohammed baada ya kumaliza mazungumzo yao, yaliofanyika katika makaazi ya Mfalme Nchini Sharjah.
Comments
Post a Comment