Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Hifadhi za Taifa(Tanapa),Allan
Kijazi akizungumza kwenye kikao cha wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Ardhi,Maliasili na Mazingira iliyofanya ziara ya kikazi kwenye Hifadhi ya Taifa
Ziwa Manyara mkoa wa Arusha, kulia ni
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga.
|
Comments
Post a Comment