- Get link
- X
- Other Apps
|
|
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana ,Ajira na Wenye Ulemavu Ndugu Jemsi Kujusi akifungua mafunzo ya stadi za maisha kwa wawezeshaji kitaifa kanda ya Magharibi katika ukumbi wa Hospital ya Rufaa Mbeya Desemba 13 .
|
Mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya katika mafunzo hayo Ndugu George Mbijima akizunngumza katika mafunzo hayo
|
Washiriki wakifuatilia kwa makini mafunzo.
|
Afisa Vijana jiji la Mbeya ambaye ni Mwenyekiti wa Mafunzo ya Stadi za Maisha kwa wawezeshaji kitaifa Kanda ya Magharibi Mkoa wa Mbeya Ndugu Baraka Mronga akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi katika mafunzo hayo.;
|
Washiriki wa Mafunzo ya stadi za maisha kwa wawezeshaji kitaifa kanda ya Magharibi katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana ,Ajira na Wenye Ulemavu Ndugu Jemsi Kujusi Ukumbi wa Hospital ya Rufaa Mbeya. |
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana ,Ajira na Wenye Ulemavu Ndugu Jemsi Kujugusi akifungua mafunzo ya stadi za maisha kwa wawezeshaji kitaifa kanda ya Magharibi katika ukumbi wa Hospital ya Rufaa Mbeya Desemba 13 .
|
Washiriki wa Mafunzo ya stadi za maisha kwa wawezeshaji kitaifa kanda ya Magharibi wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana ,Ajira na Wenye Ulemavu (hayupo Pichani )Ndugu Jemsi Kujusi katika ukumbi wa Hospital ya Rufaa Mbeya Desemba 13 .
|
Mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya katika mafunzo hayo Ndugu George Mbigima akizunngumza katika mafunzo hayo
|
Washiriki wakifuatilia kwa makini mafunzo.
|
Afisa Maendeleo ya jamii jiji la Mbeya ambaye ni Mwenyekiti wa Mafunzo ya Stadi za Maisha kwa wawezeshaji kitaifa Kanda ya Magharibi Mkoa wa Mbeya Ndugu Baraka Mronga akitoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi katika mafunzo hayo.;
|
Washiriki wa Mafunzo ya stadi za maisha kwa wawezeshaji kitaifa kanda ya Magharibi katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana ,Ajira na Wenye Ulemavu Ndugu Jemsi Kujusi Ukumbi wa Hospital ya Rufaa Mbeya. |
Comments
Post a Comment