Featured Post

BANDARI TANGA YAZIDI KUCHANUA KILIMANJARO CUP, YAITANDIKA SCORPION YA ARUSHA VIKAPU 91-60


 Kikosi cha timu ya Bandari Tanga ambacho kinaendelea kung'ara kwa kuibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 kwenye mchezo uliochezwa kwenye viwanja vya KCMC Mjini Moshi.


       

 kikosi cha timu ya Scopion ya Arusha  kabla ya kuanza mchezo wao na Bandari Tanga ambapo Bandari Tanga iliendelea kung'ara kwa kuibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 kwenye mchezo uliochezwa kwenye viwanja vya KCMC Mjini Moshi

Wachezaji wa timu ya Bandari Tanga wakisalimiana na wa timu ya Scopion ya Arusha ambapo Bandari Tanga iliendelea kung'ara kwa kuibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 kwenye mchezo uliochezwa kwenye viwanja vya KCMC Mjini Moshi
Wachezaji wa timu ya Bandari Tanga wakisaliana na wa timu ya Scopion ya Arusha kabla ya kuanza mechi yao na michuano ya Kilimanjaro Cup ambapo Bandari Tanga iliendelea kung'ara kwa kuibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 kwenye mchezo uliochezwa kwenye viwanja vya KCMC Mjini Moshi
Wachezaji wa timu ya Bandari Tanga wakichuano na timu ya Scopion ya Arusha ambapo Bandari Tanga iliendelea kung'ara kwa kuibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 kwenye mashindano ya Kilimanjaro Cup yanayoendelea kwenye viwanja vya KCMC Mjini Moshi

 Wachezaji wa timu ya Bandari Tanga wakichuana na timu ya Scopion ya Arusha ambapo Bandari Tanga iliendelea kung'ara kwa kuibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 kwenye mchezo uliochezwa kwenye viwanja vya KCMC Mjini Moshi

 Wachezaji wa timu ya Bandari Tanga wakipewa mawaidha na Kocha Mkuu wa timu hiyo,Mohamed Fazal wakati wa mapumziko katika mchezo wa michuano ya kikapu ya Kilimanjaro Cup ambapo Bandari Tanga illibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 ambapo leo Bandari watawavaa timu ya Mtwara kushoto ni
 Benchi la timu ya Bandari wakiwa kwenye umakini mkubwa
Timu ya Scopion ya Arusha Wachezaji wa timu ya Bandari Tanga wakiwa kwenye benchi lao wakifuatilia kwa umakini mchezo baina yao na  timu ya Scopion ya Arusha ambapo Bandari Tanga iliendelea kung'ara kwa kuibuka na ushindi wa vikapu 91 kwa 60 kwenye mchezo uliochezwa kwenye viwanja vya KCMC Mjini Moshi
Mchezaji wa timu ya Bandari Tanga akihojiwa mara baada ya timu hiyo kuibuka na ushindi wa vikapu 91-60 katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa KCMC mjini Moshi 
 Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha

Comments