Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa za Majumbani wa Kampuni ya Samsung Tanzania, Rayton Kwembe akimpongeza Rajab Mchatta (wa pili kushoto) mshindi wa jumla wa promosheni ijukalinayo kama ’Nunua Sajili na Ushinde’ wakati wa hafla hiyo. Kulia ni Meneja Bidhaa za nyumbani wa Kampuni hiyo, Eliasi Mushi na Meneja wa Huduma za Rejareja wa Kampuni ya Samsung Leilatu Jetwa. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspot)
|
Comments
Post a Comment