- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Unknown
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Misri Abdel Fattah
Al Sisi akishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa
Misri Abdel Fattah Al Sisi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza na mgeni wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al
Sisi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere(JNIA) jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama na mgeni wake
wake Rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi wakati nyimbo za mataifa mawili ya
Tanzania na Misri zikipigwa uwanjani hapo.
Rais wa Misri Abdel
Fattah Al Sisi akikagua gwaride la Heshima mara baada ya nyimbo za Taifa
kupigwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA) jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Misri Abdel
Fattah Al Sisi akiangalia vikundi vya ngoma za asili mara baada ya kuwasili
nchini. PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment