- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
ZIMAMOTO WAKUTANA NA WADAU WA VIFAA VYA USALAMA DHIDI YA MAJANGA YA MOTO (TAFEDA) JIJINI DAR ES SALAAM
Posted by
Unknown
on
- Get link
- X
- Other Apps
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji, Thobias Andengenye (Katikati), akizungumza na Wadau wa Vifaa vya Usalama
dhidi ya majanga ya moto (TAFEDA), walipokutana na kufanya kikao katika ukumbi
wa Mikutano Makao Makuu ya Jeshi hilo, leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Wadau wa Vifaa vya Usalama
dhidi ya majanga ya moto (TAFEDA), Mohamed Kaumbwa akitoa utambulisho wa
wajumbe aliombatana nao, walipokutana na kufanya kikao katika ukumbi wa
Mikutano Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, leo jijini Dar es Salaam.
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto
na Uokoaji Thobias Andengenye, akiwa kwenye picha ya pamoja na Wadau wa Vifaa
vya Usalama dhidi ya majanga ya moto, leo jijini Dar es
Salaam. (Picha na Jeshi la Zimamoto Na Uokoaji)
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA
ELIMU KWA UMMA-JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
Comments
Post a Comment