- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Unknown
on
- Get link
- X
- Other Apps
Mratibu wa Chama cha Wanasheria
wanawake Tanzania Mkoani Tanga (Tawla) Latifa Ayoub akisisitiza jambo
wakati wa mafunzo hayo leo
Juma Abdallah kutoka Tawla Mkoani wa Tanga akitoa mada kuhusu wajibu wa familia na jamii kuzuia uhalifu wa watoto |
Mwanasheria wa Chama cha
Wanasheria wanawake Tanzania Mkoani Tanga,Adolphina Mbekinga akizungumza
wakati akiwasilisha mada ya mfumo wa haki jinai kwa watoto Tanzania na
Taratibu zake (2&3)
Mratibu wa dawati la Jinsia na watoto Mkoa wa Tanga akizungumza katika mafunzo hayo |
Mkuu wa kituo cha Polisi Chumbangeni Mkoani Tanga, Mrakibu Msaidizi wa Polisi,ASP Saidi Mwagara akifuatilia taarifa mbalimbali wakati wa mafunzo hayo. |
Baadhi ya washiriki wa mafunzo
hayo wa pili kutoka kushoto ni Mkuu wa Polisi wilaya ya Tanga (OCD)
akifuatiwa na Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi hilo(SSP) Emanuel
Minja
Mratibu wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania Mkoani Tanga (Tawla) Latifa Ayoub kulia akifutilia masuala mbalimbali kwenye semina hiyo |
Mkuu wa kituo cha Polisi
Chumbageni Mkoani Tanga,Saidi Mwagara kushoto ni Mwendesha Mashtaka
wilaya ya Handeni,Selemani Kawambwa wakifuatilia mafunzo
hayo
Hakimu Mkazi Hilda Lyatuu kulia katikati ni Wakili wa Serikali Rebecca Msalangi wakifuatilia mada mbalimbali kwenye semina hiyo,Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha |
Comments
Post a Comment