- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA STANDARD CHARTERED KANDA YA AFRIKA NA MASHARIKI YA KATI JIJINI DAR ES SALAAM
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Standard Chartered
Kanda ya Afrika na Mashariki ya Kati Bw.
Sunil Kaushal ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Standard Chartered Kanda ya Afrika na
Mashariki ya Kati Bw. Sunil Kaushal
pamoja na ujumbe wake uliomtembelea ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam.
Comments
Post a Comment