Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimkaribisha Mbunge wa Jimbo la Ileje
mkoani Songwe, Janeth Mbene, ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo
la kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo ya Jimbo lake la Ileje. Picha zote
na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akizungumza na Mbunge wa Jimbo la
Ileje, mkoani Songwe Janeth Mbene, wakati Mbunge huyo alipomtembelea ofisini
kwake, jijini Dar es Salaam leo, kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya
maendeleo ya Jimbo lake la Ileje. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Comments
Post a Comment