 |
MKUU
wa wilaya ya Muheza Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo katika
akiingia kwenye kituo cha Afya Cha Ubwari leo wakati alipokwenda
kuangalia zoezi la upasuaji wa macho kwa wakazi wa wilaya hiyo
wanaokabiliwa na matatizo mbalimbali ikiwemo ya mtoto wa Jicho
iliyoendeshwa na Taasisi ya Medewell Charitable Health Centre kulia ni
Mganga Mkuu wa wilaya hiyo,Mathew Mganga na kushoto ni Mkurugenzi wa
Halmashauri hiyo,Luiza Mlelwa.
|
Baadhi ya wazee
waliofanyiwa upasuaji wakisubiri zoezi la kupatiwa dawa na miwani
Baadhi ya wananchi
waliofanyiwa upasuaji wakisubiri zoezi la kupatiwa dawa na miwani
Mkurugenzi wa Halmashauri
ya wilaya ya Muheza,Luiza Mlelwa akizungumza wakati wa zoezi hilo la
upasuaji
MKUU wa wilaya ya Muheza
Mkoani Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo akizungumza wakati wa zoezi
la upasuaji huo.
MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani
Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa tatu kutoka kushoto akiwa kwenye
picha ya pamoja na wazee waliojitokeza kupatiwa huduma za upasuaji wa
macho waliokuwa na matatizo ya mtoto wa Jicho
MKUU wa wilaya ya Muheza Mkoani
Tanga,Hajat Mhandisi Mwanasha Tumbo wa pili kulia akimkabidhi msaada wa
vyakula mbalimbali mwakilishi wa wazee waliofanyiwa upasuaji wa macho
ili viweze kuwasaidia baada ya kumalizika upasuaji huo watakapokwenda
majumbani mwao wanaoshuhudia kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya
wilaya ya Muheza,Luiza Mlelwa ,Mganga Mkuu wa Halmashauri hiyo,Mathew
Mganga wa kwanza kushoto ni Katibu Tawala wa wilaya ya Muheza
Desderia Haule
Mkurugenzi wa Halmashauri ya
wilaya ya Muheza,Luiza Mlelwa akipongezwa na mwakilishi wa wazee hao
mara baada ya Mkuu wa wilaya hiyo,Mhandisi,Hajat Mwanasha Tumbo wa pili
kulia kuwakabidhi vyakula vitakavyowasaidia watakapotoka kwenye matibabu
hayo na kurejea makwao
Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha.
Comments
Post a Comment