- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili
kushoto), akiongozwa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Mkuu wa
Wilaya ya Tanganyika, Saleh Mhando wakati akiwasili ofisi ya mkoa huo kwa ziara
ya kikazi ikiwa na lengo la kuona changamoto za
masuala ya ulinzi na usalama na kuyatafutia ufumbuzi.Wengine ni viongozi
wa serikali mkoani hapo. (Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Kaimu
Mkuu wa Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Saleh Mhando
(kushoto), akitoa taarifa ya Mkoa kwa
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(kulia)
wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu
Waziri huyo mkoani hapo ikiwa na lengo la kuona changamoto za masuala ya ulinzi
na usalama na kuyatafutia ufumbuzi. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Katibu
Tawala Mkoa wa Katavi, Paul Chagonja akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (hayupo pichani) wakati wa
ziara ya kikazi ya Naibu Waziri huyo
mkoani hapo yenye lengo la kuona
changamoto za masuala ya ulinzi na
usalama na kuyatafutia ufumbuzi.Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mpanda Lilian
Matinga. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni(wakwanza
kulia), akimsikiliza Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya
ya Tanganyika, Saleh Mhando, wakati wa ziara ya kikazi ya Naibu Waziri
huyo mkoani hapo kwa lengo la kuona changamoto za masuala ya ulinzi na usalama na kuyatafutia
ufumbuzi.Wengine ni viongozi wa mkoa huo kutoka kada mbalimbali. (Picha na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
Naibu
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (watatu
kulia),akiwa katika picha ya pamoja na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Katavi ambaye pia
ni Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Saleh Mhando,(wapili kulia). Naibu Waziri
alifika mkoani hapo kwa ziara ya kikazi ikiwa na lengo la kuona changamoto za
masuala ya ulinzi na usalama na kuyatafutia ufumbuzi. Wengine ni viongozi wa
mkoa huo kutoka kada mbalimbali (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
IMEANDALIWA
NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Comments
Post a Comment