- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Ni simulizi
ya kweli inayo lenga kuelimisha jamii kuhusiana na suala la ndoa katika karne
ya sasa. Kumekuwa na sababu za hapa na pale zinazo pelekea vijana wengi
kuchelewa au kushindwa kabisa kuoa na kuolewa.
Kuoa na
kuolewa ni moja kati ya sehemu ya maisha ya mwanadam na inafika wakati mtu
anakuwa na shauku ya kuoa au kuolewa, lakini kutokana na baadhi ya vikwazo
vinavyo jitokeza imekuwa ni changamoto kubwa.
Baada ya
kuliona hilo kwa jicho pevu “WAELIMISHAJI CREW” Zaydar ,Moses, Aisha, Happy & Kilaka
wamekuletea ujumbe mzito kwa njia ya video kupitia Short Films zinazo andaliwa na Vinec
Production Tanzania - Dar es salaam.
Tunaomba
ushirikiano wako wa kusambaza hii video iliyobeba ujumbe mzito wenye kuelimisha
Jamii. Kwa msaada na maswali kuhusiana na video hii pamoja na wasanii walio
shiriki humo wasiliana nasi kwenye 0658161950 asante.
Comments
Post a Comment