Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiwasikiliza Mawaziri wa Nishati kutoka Tanzania na Zambia wakati wa kikao cha kupokea taarifa ya tathmini ya ujenzi wa bomba jipya la mafuta safi kutoka Tanzania mpaka Zambia, Mawaziri hao ni Waziri wa Nishati na Madini wa
Tanzania Mhe.Profesa Sospeter Muhongo (kulia) na Waziri wa Nishati wa
Zambia Bw. David Mabumba (kushoto), Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Nishati na Madini wa
Tanzania Mhe.Profesa Sospeter Muhongo (kulia) na Waziri wa Nishati wa
Zambia Bw. David Mabumba (kushoto) mara baada ya kumaliza mkutano wa
kumpa taarifa Makamu wa Rais ya tathmini ya ujenzi wa bomba jipya la
mafuta safi, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akizungumza na Waziri wa Nishati wa Zambia
Bw. David Mabumba (kushoto) mara baada ya kupokea
taarifa ya tathmini ya ujenzi wa bomba jipya la mafuta
safi litakalotoka Dar es Salaam, Tanzania mpaka Ndola, Zambia, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Ujumbe wa Tanzania na Zambia
ambao ulifanya ziara ya kukagua pampu na bomba la mafuta la TAZAMA
kutoka Ndola, Zambia mpaka Dar es Salaam Tanzania wakiongozwa na Waziri
wa Nishati na Madini Mhe. Profesa Sospeter Muhongo na Waziri wa Nishati
wa Zambia
Bw. David Mabumba ambapo walifanya tathmini ya ujenzi wa bomba jipya la
mafuta
safi litakalotoka Dar es Salaam, Tanzania mpaka Ndola, Zambia.
Comments
Post a Comment