- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa
Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TABD) Bw. Francis Assenga akizungumza na
waandishi wa habari leo Jijini Dar es saalam kuhusu mikakati ya Benki hiyo
kuwainua wakulima wadogo ili waweze kushiriki katika ujenzi wa uchumi wa
viwanda. Kushoto ni Mkurugenzi wa Hazina na Utafutaji Fedha wa Benki hiyo, Bw.
Albert Ngusaru.
Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TABD) Bw.
Francis Assenga akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam
ambapo alibainisha kuwa Benki hiyo imekuwa ikitoa mikopo kwa wakulima ili
kuziba pengo la upatikanaji wa fedha kwenye minyororo ya thamani katika sekta
za kilimo, mifugo, uvuvi na mazao ya misitu. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa
Mikopo na Biashara Bw. Geofrey Mtawa na kushoto Mkurugenzi wa Hazina na
Utafutaji Fedha Bw. Albert Ngusaru.
Kaimu Mkurugenzi wa Mikopo na
Biashara Bw. Geofrey Mtawa akiwaeleza waandishi wa habari kuhusu mpango wa
Benki hiyo kuhakikisha kuwa wakulima wote wanawezeshwa ili kuinua kilimo hapa
nchini. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji
wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TABD) Bw. Francis Assenga.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia
mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania leo Jijini Dar es salaam.
(Picha na Frank Mvungi- Maelezo)
Comments
Post a Comment