Featured Post

WASIIOONA WATAKIWA KUTOKATA TAMAA

 Mkuu wa Wilaya Temeke Mh. Felix Lyaniva (kulia) akiongea na Mkufunzi wa Mafunzo ya ushonaji kwa wasioona Bw. Abdallah Nyangalio wakati wa uzinduzi wa mafunzo hayo jijini Dar es Salaam. (Picha na Benjamin Sawe Maelezo).

Mkuu wa Wilaya Temeke Mh. Felix Lyaniva (kulia) akimkabidhi zawadi ya Cherehani Mkufunzi wa Mafunzo wa ushonaji kwa wasioona Bw. Abdallah Nyangalio wakati wa uzinduzi wa mafunzo hayo jijini Dar es Salaam, wa kwanza kusoto ni Bw. Edwin Rutageruka Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Picha na Benjamin Sawe Maelezo).

Comments