- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
BENKI YA POSTA TANZANIA (TPB) YAMALIZA TATIZO LA UHABA WA VYOO KWA WALIMU WA SHULE YA MSINGI IPINDA KYELA
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
| Muonekano wa jengo la vyoo vya walimu katika shule ya Msingi Ipinda lenye matundu matano ambalo ujenzi wake umegharimu kiasi cha shilingi milioni8. |
| Meza kuu katika Picha ya pamoja na walimu na wajumbe wa bodi ya shule ya Msingi Pinda. |
| Meza kuu na wafanyakazi wa benki ya Posta Tanzania TPB tawi la Kyela na Mbeya. |
| Meza kuu katika picha ya pamoja na wadau na viongozi wa serikali ya kijiji cha Ipinda Wilaya ya Kyela. |
| Vyoo vilivyokuwa vikitumiwa na walimu wa shule ya Msingi Ipinda kabla ya kujengewa vyoo vipya na benki ya Posta Tanzania (TPB).PICHA E.MADAFA |
Comments
Post a Comment