- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Wachezaji
wa Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 - Serengeti Boys,
wakijifua kwenye Uwanja wa Seminari Kuu ya Kumbukumbu ya Kardinali Emile
Biayenda wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Brazzaville, Jamhuri ya Congo.
Serengeti Boys inajiandaa kucheza na vijana wa Congo, Jumapili ya Oktoba 2,
2016 kwenye dimba la Alphonse Massamba-Débat ulioko kwenye Makutano ya Barabara
za Nkolo na Boko, hapa jijini Brazzaville. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).
Kocha wa
Makipa wa Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 - Serengeti
Boys, Muharami Mohammed maarufu kwa jina la Shilton (wa pili kushoto) akiwanoa
vijana wake, Kelvin Kayego (kushoto), Ramadhani Kabwili (wa tatu kushoto) na
Samwel Brazio kwenye Uwanja wa Seminari Kuu ya Kumbukumbu ya Kardinali Emile
Biayenda wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Brazzaville, Jamhuri ya Congo.
Serengeti Boys inajiandaa kucheza na vijana wa Congo, Jumapili ya Oktoba 2,
2016 kwenye dimba la Alphonse Massamba-Débat ulioko kwenye Makutano ya Barabara
za Nkolo na Boko, hapa jijini Brazzaville. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).
Madaktari
wa Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 - Serengeti Boys, Dk.
Sheicky Mngazija (kushoto) na Gilbert Kigadye wakifuatilia kwa karibu mazoezi
ya timu kwenye Uwanja wa Seminari Kuu ya Kumbukumbu ya Kardinali Emile Biayenda
wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Brazzaville, Jamhuri ya Congo. Serengeti Boys
inajiandaa kucheza na vijana wa Congo, Jumapili ya Oktoba 2, 2016 kwenye dimba la
Alphonse Massamba-Débat ulioko kwenye Makutano ya Barabara za Nkolo na Boko,
hapa jijini Brazzaville. (Picha na Alfred Lucas wa TFF).
Purukushani
langoni ambako Dickson Job aliye hewani akikoa hatari langoni kwake.
Comments
Post a Comment