- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel Sitta alipomtembelea na kumjulia hali jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Samuel Sitta (katikati) anayeendelea vizuri na matibabu jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mke wa Mzee Sitta Mama Margaret Sitta.


Comments
Post a Comment