- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Aliyekuwa msanii mahiri wa Taarab, marehemu Shakila Said wakati wa uhai wake akipongezwa na Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakati wa Tamasha la wasanii kumuaga Kikwete usiku baada ya kumalizika kwa Mkutano Mkuu wa chama hicho, mjini Dodoma Julai 23, mwaka huu. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA; KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Shakila akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Abdulrahman Kinana
Akitafakari jambo
Comments
Post a Comment