- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza
wakati wa kuaga miili ya askari
waliouawa katika eneo la Mbande, Temeke baada ya kuvamiwa na majambazi .Ibada
hiyo ya kuaga ilifanyika katika Viwanja
vya Polisi vilivyopo barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Ernest
Mangu, akizungumza wakati wa maombolezo na kuaga miili ya askari waliouawa
katika eneo la Mbande, Temeke baada ya kuvamiwa na majambazi.Ibada hiyo ya
kuaga ilifanyika katika Viwanja vya polisi vilivyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar
es Salaam.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu
Nchemba, akipita kutoa heshima za mwisho mbele ya majeneza yaliyobeba miili ya askari waliouawa baada ya kuvamiwa na
majambazi katika
eneo la Mbande, Temeke ,bada hiyo ya kuaga miili ilifanyika katika viwanja vya
polisi vilivyopo barabara ya
Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu
Nchemba, akitoa mkono wa pole kwa mmoja wa ndugu wa askari waliouawa baada ya kuvamiwa na
majambazi katika eneo la Mbande, Temeke
ibada hiyo ya kuaga miili ilifanyika katika
viwanja vya polisi vilivyopo barabara ya
Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni , akitoa mkono wa pole kwa
mmoja wa ndugu wa askari waliouawa baada
ya kuvamiwa na majambazi katika eneo la
Mbande, Temeke ,ibada hiyo ya kuaga miili ilifanyika katika Viwanja vya Kambi Kuu ya
Polisi iliyopo barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.
Askari wakimsaidia mzazi wa mmoja wa
askari waliouawa baada ya kuvamiwa na majambazi katika eneo la Mbande, Temeke, ibada hiyo ya
kuaga miili ilifanyika katika viwanja
vya polisi vilivyopo barabara ya
Kilwa,jijini Dar es Salaam.(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO
SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Comments
Post a Comment