Habari zilizotufikia hivi punde ni kuwa Askari Polisi walivamia nyumbani kwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mh Godbless Lema (pichani) alfajiri ya leo na kumkamata.
Hivi sasa yupo central police ya Arusha.
Sababu za kukamatwa kwake haijajulikana bado....
Tutawajuza kila kitakachokuwa kinajiri
CHANZO: JAMII FORUMS
Comments
Post a Comment