- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF) ikishirikiana na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP/UNEP inaandaa Kongamano la siku moja kuhusu KILIMO BIASHARA katika KANDA YA ZIWA litakalofanyika Jijini Mwanza siku ya Jumamosi tarehe 27/8/2016 katika Ukumbi wa ROCK CITY MALL ghorofa ya tatu kuanzia saa mbili na nusu (2:30) asubuhi. Malelezo Zaidi bofya hapahttp://esrf.or.tz/ebrief/ 067.html Au soma vipeperushi hapa chini
Comments
Post a Comment