- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama
Barabarani, wakiongozwa na Mwenyekiti wa baraza ambae pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi
Hamad Masauni(katikati), katika kikao
cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za Barabarani , ambao
ulizinduliwa rasmi mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo la kupunguza ajali
kwa asilimia kumi ifikapo mwezi
Februari, mwakani.Wa kwanza mkono wa kulia kwa Naibu Waziri ni Katibu Mtendaji wa baraza ambae pia ni Kamanda wa Kikosi cha
Usalama Barabarani , Mohamed Mpinga.
Kikao kilifanyika katika ukumbi wa
wizara,jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Baraza la Taifa la Usalama
Barabarani, Henry Bantu, akizungumza wakati wa
kikao cha kujadili maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za Barabarani
, ambao ulizinduliwa rasmi mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo la
kupunguza ajali kwa asilimia kumi ifikapo mwezi Februari, mwakani. Kikao kilifanyika katika ukumbi wa wizara,jijini Dar
es Salaam.
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la
Usalama Barabarani nchini ambae pia ni
Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza wakati wa kikao cha kujadili
maendeleo ya Mkakati wa Kudhibiti Ajali za Barabarani , ambao ulizinduliwa
rasmi mwanzoni mwa mwezi wa nane,ukiwa na lengo la kupunguza ajali kwa asilimia
kumi ifikapo mwezi Februari, mwakani. Kikao
kilifanyika katika ukumbi wa
wizara,jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Baraza la Taifa la Usalama
Barabarani, ASP Deus Sokoni, akizungumza
wakati wa kikao cha kujadili maendeleo ya
Mkakati wa Kudhibiti Ajali za Barabarani, ambao ulizinduliwa rasmi mwanzoni mwa
mwezi wa nane,ukiwa na lengo la kupunguza ajali kwa asilimia kumi ifikapo mwezi Februari, mwakani. Kikao kilifanyika katika ukumbi wa wizara,jijini Dar
es Salaam.(Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO
SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
Comments
Post a Comment