- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Kariakoo Family Development Foundation Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi Polisi mstaafu Jamal Rwambow akiogea machache na amekitaka chama hicho kujali maendeleo ya jamii ya cha hicho kinachowajumuisha wzawa na waliowahi kuishi na wanaoishi eneo lote la Kariakoo jijini Dar es salaam kwa lengo la kushirikiana mambo mbalimbali ya limaendeleo na kijamii.
Mwenyekiti wa Kariakoo Family Development Fund Mohamed Bhinda akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa City Lounge jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kariakoo Family Development Foundation, Mohamed Bhinda akiwa na Jamal Rwambow (mwenye suti nyeusi) wakikata keki mara baada ya kuzindua umoja huo.
Wakongwe wa Kariakoo Senpai Yusuf Kivuli (kushoto) na Senpai Waheed wakiwa katika shoo ya Goju Ryu Karate katika uzinduzi wa Kariakoo Family Development Foundation.
Mkurugenzi wa MMG, Ankal Muhidin Issa Michuzi akilishwa keki katika uzinduzi wa Kariakoo Family Development Foundation
Picha ya Pamoja ya Wanakariakoo na Mgeni Rasmi.
Comments
Post a Comment