- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
WAZIRI MPINA ASHIRIKI MAZISHI YA OFISA MFAWIDHI WA ULINZI WA RASILIMALI ZA UVUVI NA KUPAMBANA NA UVUVI HARAMU KANDA YA UKEREWE, MAREHEMU IBRAHIM JUMA NJARARI KIJIJI CHA KYANGASAGA WILAYA RORYA MKOANI MARA
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akikabidhi Hati ya Ushujaa iliyotolewa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa Familia ya Ofisa Mfawidhi wa Usimamizi wa Rasilimali za Uvuvi na Kupambana na Uvuvi Haramu Kanda ya Ukerewe, Marehemu Ibrahim Juma Njarari aliyezikwa wa kijijini kwake Kyangasaga wilayani Rorya mkoani Mara.Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Mhe. Adam Malima na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalah Ulega.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akikabidhi Hati ya Ushujaa kwa Familia ya Ofisa Mfawidhi wa Usimamizi wa Rasilimali za Uvuvi na Kupambana na Uvuvi Haramu Kanda ya Ukerewe, Marehemu Ibrahim Juma Njarari aliyezikwa wa kijijini kwake Kyangasaga wilayani Rorya mkoani Mara.
Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Samson Chacha na Mkurugenzi wa Uvuvi, Magesse Bulayi wakiweka udongo kwenye kaburi la Ofisa Mfawidhi wa Usimamizi wa Rasilimali za Uvuvi na Kupambana na Uvuvi Haramu Kanda ya Ukerewe, Marehemu Ibrahim Juma Njarari aliyezikwa wa kijijini kwake Kyangasaga wilayani Rorya mkoani Mara.
Comments
Post a Comment