- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
TANGAZO KWA WADAIWA SUGU WA MADENI YA PROGRAMU YA “COMMODITY IMPORT SUPPORT (CIS) NAFOOD AID COUNTERPART FUND (FACF)”
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Wizara ya Fedha na
Mipango inawataka wadaiwa sugu wa madeni ya Commodity Import Suport (CIS)na
FACF, walipe madeni yao mara moja. Madeni haya ni mkopo wenye masharti nafuu
yaliyotolewa kwa Taasisi, Kampuni, Viwanda na Wafanyabiashara, ambapo
wakopaji walitakiwa kulipa deni bila kutozwa riba katika kipindi cha Miezi 18
tangu walipopewa mikopo hiyo. Kwa mujibu wa sheria ya CIS (The
Commodity Import Support Regulation Act, CAP 261 R. E. 2002 (s.8 (1)(b), Mkopaji
akichelewa kulipa katika kipindi cha miezi 18 tangu kupatiwa mkopo, atapaswa
kulipa riba ya asimilia sawa na kiwango kinachotozwa na Benki Kuu ya Tanzania
inapoikopesha Serikali katika kipindi husika. Zaidi ya makampuni 980
yalikopeshwa chini ya utaratibu huu.
Serikali
inatangaza kwa mara ya Mwisho kufuatia baadhi ya wadaiwa ambao wameshindwa
kuitikia wito wa matangazo ya awali ya tarehe 30/12/2015 na 05/04/2018. Hatua
za kisheria zitachukuliwa mara baada ya kutoka kwa tangazo hili.
ORODHA YA KWANZA
YA WADAIWA SUGU WA MADENI YATOKANAYO COMMODITY IMPORT SUPPORT(CIS) NA FOOD AID
COUNTERPART FUND (FACF).
1. Yusuph Manji
· Farm Equipment Tanzania Ltd
· Quality Group Ltd
· Dunhill Motors Ltd
· Quality Seed Ltd
· Quality Garage Ltd
2. Mohamed Dewji
· 21st Century Textiles Ltd
· Afritex Ltd
2. S. S Rashid
· Pwani Tours and Safari Ltd
· Pwani Investment Ltd
5. Issack Bugali
· Dar es Salaam International School Trust Fund
6. K.B Medicare
Ltd (Prof. Bernard Kirei)
7. Siza Cold
Storage Co.Ltd (Stephen Wasira)
8. Sorority Co.
Ltd (Martha Lyimo)
9. 21st Century,
Afritex Ltd,
10. Kichonge
Miller (Bokeye Kangoye)
11. Rela
Investment Company Ltd (Ahiya E. Lukumayi)
12. Bahari Motor
Co Ltd (Hashim Rungwe)
13. Andrew Traders
Co Ltd (Andrew Richard Kisenge)
14. Oth Investment
Co Ltd (Boniventure Boniventure)
15. Kiomboi
Kisiriri Pharmacy Ltd (Dkt Kingu)
Kwa maelezo zaidi,
wasiliana na Kikosi Kazi, Wizara ya Fedha na Mipango, Dar es Salaam, chumba Na.
352, Simu Na. +255 739403025/ 2122282285
KATIBU MKUU
WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO
Comments
Post a Comment