- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA KONGAMANO LA HALI YA UCHUMI NA SIASA NCHINI KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU YA UONGOZI WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO LILILOFANYIKA KATIKA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa Mshiriki Maalum, akizungumza
na Wageni mbalimbali wakiwemo Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,
Viongozi wa Kiserikali, Mabalozi kutoka nchi mbalimbali, pamoja na
wananchi waliohudhuria katika Kongamano
la Hali ya Uchumi na Siasa katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu
ya Tano lililofanyika katika ukumbi wa Nkuruma uliopo katika Chuo Kikuu cha Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa Mshiriki Maalum akiwa pamoja
na washiriki wengine wakisikiliza mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa na
Watoa Mada katika Kongamano la Hali ya Uchumi na Siasa katika kipindi cha miaka
mitatu ya Serikali ya Awamu ya Tano lililofanyika katika ukumbi wa Nkuruma
uliopo katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Baadhi ya Washiriki wa Kongamano la
Hali ya Uchumi na Siasa katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya
Tano wakisikiliza kwa makini wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa mshiriki Maalum alipokuwa akizungumza
katika ukumbi wa Nkuruma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu
cha Dar es Salaam waliokuwa nje ya Ukumbi wa Nkuruma wakifatilia Kongamano la
Hali ya Uchumi na Siasa katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya
Tano kwa njia ya Luninga wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli ambaye alikuwa mshiriki Maalum alipokuwa akizungumza katika
ukumbi wa Nkuruma katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa mshiriki Maalum katika
Kongamano hilo akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Wasichana ya Kisutu mara
baada ya kutoka katika Ukumbi wa Nkuruma katika Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Sehemu ya Watoa Mada wakiwa
Wanasikiliza michango mbalimbali iliyokuwa ikitolewa katika Ukumbi wa Nkuruma
katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Wakwanza kushoto ni Profesa Humphrey
Moshi, Profesa Kitila Mkumbo, Makamu Mkuu wa Chuo Profesa William Anagisye,
Profesa Rwekaza Mukandala, Profesa Martha Qorro pamoja na Profesa Hudson
Nkotagu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ambaye alikuwa mshiriki Maalum katika
Kongamano hilo akiandika baadhi ya Hoja katika Kongamano hilo. PICHA NA IKULU.
Comments
Post a Comment