- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
WAZIRI LUKUVI AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU MPYA NA MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC)
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
akifurahia jambo wakati alipokutana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la
Taifa (NHC) Dk. Maulid Banyani wa kwanza kulia, Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi wa NHC Dk Sophia Kongela wa pili kulia walipokuenda kujitambulisha
ofisini kwake Dodoma, wengine kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi Dk Angeline
Mabula na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi Doroth Mwanyika.
Naibu waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya
Makazi Dk. Angeline Mabula akimpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya NHC
Dk Sophia Kongela kwa kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli kushika nafasi hiyo, alipotembelea ofisi
za Wizara ya Ardhi jijini Dodoma.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
William Lukuvi na Naibu wake Dk Angeline Mabula wakiwa katika picha ya pamoja
na uongozi mpya wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi ya NHC Dk. Sophia Kongela wa pili kulia na Mkurugenzi Mkuu Dk.
Maulid Banyani.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
William Lukuvi akimkabidhi ripoti Mapitio ya Muundo wa Shirika la Nyumba la
Taifa (NHC) kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC Dk Sphia Kongela leo
jijini Dodoma.
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
William Lukuvi akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Mipango Miji Wizara ya Ardhi
Profesa John Lupala wakati akioneshwa ramani ya mji wa Serikali uliopo Dodoma.
Comments
Post a Comment