- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Utekaji nyara wa watoto na wizi wa vyombo vya moto umeenea sana nchini Tanzania kiasi cha
kutishia usalama wa jamii.
Sasa
je, unataka kufuatilia aliko mtoto wako aliyekwenda shule, gari lako, pikipiki
(bodaboda), au bajaj yako, biashara zako na mambo mengine mengi?
Huwezi kufunga
CCTV kila mahali, lakini sasa UFUMBUZI umepatikana wa kukuwezesha kupata
taarifa zote unazohitaji ikiwa ni pamoja na kuzuia uhalifu.
Pata
Tracking Device maalum ambayo siyo tu itakuletea taarifa muhimu, lakini pia
pamoja na mahali gari, bodaboda, bajaj yako iliko, mtoto wako aliko,
yanayoendelea kwenye sehemu yako ya biashara na mambo kadha wa kadha. Linaweza
kuwa jambo geni, lakini wale waliopata kupotelewa na vyombo vya moto au
kupoteza wapendwa wao hasa madereva wa bodaboda wanaotekwa na watu
wasiojulikana wanatambua uchungu walioupata, na wanaweza kuuona umuhimu wa kuwa
na kifaa cha aina hii.
Ni
kifaa cha kisasa ambacho chenyewe kitakupigia simu kujua kinachoendelea na
kukutumia ujumbe (sms) kuhusu eneo husika.
Kifaa
hiki kitasaidia kukomemsha wizi wa vyombo vyetu vya moto na kutoa ulinzi hata
kwa watoto wetu wanapokuwa mbali nasi.
-
Kinachajiwa kwa umeme
na chaji inadumu kwa siku 7 kabla ya kuchaji tena.
-
Kinaingia laini ya
simu ya kawaida.
-
Kinaunganishwa na
namba 4 tofauti za simu ambako kitapeleka ujumbe na kipiga simu chenyewe.
-
Ni lazima utumie
smart phone.
Kinapatikana
kwa gharama nafuu ya Shs. 250,000.
Kwa
mawasiliano, piga: +255 656 331974/+255 716 775334.
Comments
Post a Comment