- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri
akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja baina ya wananchi na watendaji wa
Serikali mkoa wa Tabora leo Jumatano Agosti 29, 2018.
Mkuu wa Wilaya ya Tabora Komanya Erick
Kitwala akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja baina ya wananchi na watendaji
wa Serikali mkoa wa Tabora leo Jumatano Agosti 29, 2018.
Mjumbe wa Serikali ya Mtaa wa Kizigo Kata
ya Ng’ambo mkoani Tabora, Bw. Said Thabit Mnwagi akizungumza wakati wa mkutano wa pamoja baina
ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri (kulia),wananchi na watendaji wa
Serikali mkoa wa Tabora leo Jumatano Agosti 29, 2018. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Tabora,
Komanya Erick Kitwala na Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora Joseph Kashushura.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa pamoja
baina ya wananchi na watendaji wa Serikali mkoa wa Tabora wakifuatilia hotuba
ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri wakati wa mkutano huo uliofanyika
katika ukubi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa
huo leo Jumatano Agosti 29, 2018. (Picha na Frank Shija – MAELEZO, Tabora)
Comments
Post a Comment