- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA MADIWANI PAMOJA NA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA CHATO MKOANI GEITA
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na Madiwani, Viongozi mbalimbali pamoja na Watumishi wa
Halmashauri ya Wilaya ya Chato katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa
Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita. Wengine katika picha ni Mkuu wa
Wilaya ya Chato Eng. Mtemi Msafiri Semeon(kushoto) na Mkurugenzi wa Halmashauri
ya Chato Eliud Mwaiteleke(kulia).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato
mara baada ya kumaliza mkutano huo na Madiwani, Viongozi mbalimbali pamoja na
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato. Wengine katika picha ni Mwenyekiti
wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Christian Manunga wapili kutoka (kulia)
mstari wa kwanza mbele, Mkuu wa Wilaya ya Chato Eng. Mtemi Msafiri Semeon watatu
kutoka (kulia), Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani, wanne kutoka (kushoto)
pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chato Eliud Mwaiteleke.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya
Wilaya ya Chato mara baada ya mkutano huo uliofanyika katika katika ukumbi wa
Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita. Wengine katika picha mstari wa
mbele ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato Christian Manunga
wakwanza kutoka (kulia) mstari wa kwanza mbele, Mkuu wa Wilaya ya Chato Eng.
Mtemi Msafiri Semeon wapili kutoka (kulia), Waziri wa Nishati na Madini Dkt.
Medard Kalemani wapili kutoka kushoto pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya
Chato Eliud Mwaiteleke.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwapungia mkono Madiwani pamoja na Watumishi wa Halmashauri ya
Wilaya ya Chato wakatika akiondoka katika Ofisi za Halmashauri hiyo Chato
mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Chato kwa ajili
ya mkutano na Madiwani, Viongozi mbalimbali pamoja na Watumishi wa Halmashauri
ya Wilaya ya Chato mkoani Geita.
Baadhi ya Watumishi wa halmashauri ya Wilaya ya Chato wakifatilia kwa
makini wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza masuala mbalimbali katika ukumbi wa
Halmashauri hiyo Chato mkoani Geita. PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment