- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
MAKAMU
rais wa zamani wa shirikisho la soka duniani (FIFA) amehukumiwa kifungo
cha miaka tisa nchini Marekani ikiwa ni matokeo ya uchunguzi wa rushwa
iliyofanywa ndani ya chombo hicho kikubwa cha soka duniani.
Juan Angel Napout, ambaye anatokea Paraguay alipatikana na hatia ya kuchukua mamilioni ya dola kwa njia ya rushwa.
Hatua hii inakuja siku chache
baada ya kifungo cha miaka minne alichopewa mkuu wa zamani wa soka
nchini Brazil, Jose Maria Marin, ambaye pia alihusishwa kwenye tuhuma
hizohizo. Wote kwa pamoja walikutwa na hatia ya kupokea rushwa kutoka
makampuni makubwa ambayo yalikuwa yakijitangaza kupitia FIFA.
Comments
Post a Comment