- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI CHUO CHA UONGOZI CHA MWALIMU JULIUS NYERERE KINACHOJENGWA KIBAHA KWA MFIPA MKOANI PWANI
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika picha na mgeni wake Waziri wa uhusiano wa Kimataifa wa
Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Song Tao wanne kutoka kushoto waliokaa,
viongozi wa vyama vya ANC, SWAPO,ZANU-PF, MPLA, FRELIMO pamoja na viongozi
mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi CCM mara baada ya kuweka jiwe la msingi
ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu
Julius Nyerere kinachojengwa katika eneo la Kibaha kwa mfipa mkoani Pwani. Chuo
hicho kinajengwa na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kwa gharama ya
Shilingi Bilioni mia moja(100).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza jambo na mgeni wake Waziri wa uhusiano wa Kimataifa wa
Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Song Tao kabla ya tukio la uwekaji jiwe
la msingi ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kinachojengwa
katika eneo la Kibaha kwa mfipa mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe
Magufuli akipiga ngoma pamoja Sophia Shaningwa
Katibu wa Chama cha SWAPO kutoka nchini Namibia huku Waziri wa uhusiano
wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) Song Tao akipiga makofi
mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu
Julius Nyerere kinachojengwa katika eneo la Kibaha kwa mfipa mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe
Magufuli akipiga ngoma na Katibu wa Chama cha SWAPO kutoka Namibia Sophia
Shaningwa pamoja na Waziri wa uhusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti
cha China (CPC) Song Tao mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Chuo cha
Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kinachojengwa katika eneo la Kibaha kwa
mfipa mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe
Magufuli akipiga ngoma na Waziri wa uhusiano wa Kimataifa wa Chama cha Kikomunisti
cha China (CPC) Song Tao mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Chuo cha
Mwalimu Julius Nyerere kinachojengwa katika eneo la Kibaha kwa mfipa mkoani
Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wananchi kabla ya ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa
Chuo cha Uongozi cha Uongozi cha Mwalimu
Julius Nyerere kinachojengwa katika eneo la Kibaha kwa mfipa mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe
Magufuli akiangalia mfano wa moja ya majengo ya chuo hicho kitakapo kamilika
kujengwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe
Magufuli akipunga mkono kwa wananchi(hawaonekani pichani) wakati akiwasili
katika eneo kitakapojengwa Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere Kibaha
kwa mfipa mkoani Pwani. PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment