- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Kaimu
Mkurugenzi wa Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mbaruku Mgawa
akizungumza wakati
wa kikao kazi cha kujadili utekelezaji wa mradi wa “Tumaini la mama kwa
viongozi na watendaji mkoani Tanga kilichofanyika mjini Korogwe katikati
ni Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally
Mwakababu
MKUU wa mkoa wa Tanga Martine Shigella akizungumza wakati
akifungua kikao hicho kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
Mbaruku Mgawa na Meneja wa Mfuko huo mkoani Tanga Ally
Mwakababu
Katibu
Tawala wa Mkoa wa Tanga Mhandisi Zena Saidi akizungumza katika kikao
hicho kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella akifuatiwa
na Kaimu Mkurugenzi wa Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya
Mbaruku Mgawa
KAIMU
Mkuu wa wilaya Korogwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni Godwin
Gondwe akizungumza katika kikao hicho kushoto ni Mganga Mkuu wa mkoa wa
Tanga Dkt Asha Mahita
Wajumbe
wa kikao hicho wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine
Shigella wa kwanza kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Mkinga Mark Yona,Mkuu wa
wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa,Mkuu wa wilaya ya Muheza Mhandisi
Mwanasha Tumbo na Mganga Mkuu wa Jiji la Tanga (CMO)
Jairy Khanga
Comments
Post a Comment