- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA UPANUZI WA HUDUMA ZA MAWASILIANO ZA NCHI NZIMA NA KUPOKEA GAWIO LA SERIKALI SHILINGI BILIONI 1.5 KUTOKA TTCL CORPORATION
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisaidiwa na wajumbe wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Miundombinu akipokea mfano wa hundi ya gawio la shilingi
Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa viongozi wa TTCL Corporation kwenye
hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akihutubia baada ya
kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa viongozi wa
TTCL Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akibonyeza kitufe kuashiria
uzinduzi rasmi wa huduma za mawasiliano za kampuni ya TTCL nchi nzima baada ya
kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 toka kwa viongozi wa TTCL
Corporation kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na meza kuu katika picha ya pamoja na wajumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu baada ya kupokea gawio la
shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa viongozi wa TTCL Corporation
na kuzindua huduma za kampuni hiyo nchi nzima kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi
wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Juni 21, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli na meza kuu katika picha ya pamoja na menejimenti ya TTCL Corporation
baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka
kwa viongozi wa TTCL Corporation na kuzindua huduma za shirika hilo nchi
nzima kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Bodi ya TTCL Mhandisi Omari Rashid Nundu
baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka
kwa viongozi wa TTCL Corporation na kuzindua huduma za kampuni hiyo nchi nzima
kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli na meza kuu katika picha ya pamoja na sehemu ya wafanyakazi wa TTCL
Corporation baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa
serikali toka kwa viongozi wa Kampuni hiyo na kuzindua huduma za kampuni
hiyo nchi nzima kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli na meza kuu katika picha ya pamoja na wakuu wa vyombo vya ulinzi na
usalama baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali
toka kwa viongozi wa TTCL Corporation na kuzindua huduma za kampuni hiyo nchi
nzima kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu
Mhe. Moshi Selemani Kakoso baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5
kwa serikali toka kwa viongozi wa TTCL Corporation na kuzindua huduma za
kampuni hiyo nchi nzima kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa TTCL Corporation Bw. Waziri Kindamba baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa serikali toka kwa Shirika hilo na kuzindua huduma za kampuni hiyo nchi nzima kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akiaga baada ya kupokea gawio la shilingi Bilioni 1.5 kwa
serikali toka kwa viongozi wa Kampuni ya TTCL na kuzindua huduma za
Shirika hilo nchi nzima kwenye hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Juni 21, 2018
Picha na IKULU
Comments
Post a Comment