- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally, mara baada ya kumpendekeza na kupitishwa na wajumbe wote waliohudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa NEC Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC)
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama cha
Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally akizungumza na wajumbe wa mkutano wa
Halmashauri Kuu ya Taifa NEC wakati akiwasilisha Ripoti ya Uhakiki wa mali za
Chama cha Mapinduzi CCM kwa wajumbe hao Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiimba pamoja na Makamu Mwenyekiti wa
CCM-Zanzibar, Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya kukabidhiwa
makabrasha yenye taarifa za uhakiki wa mali za Chama hicho.
Wajumbe kikao cha Halmashauri Kuu
ya Taifa NEC wakishangilia wakati kikao hicho kilipokuwa kikiendelea Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Katibu Mkuu wa Chama cha
Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally kwenye meza kuu mara baada ya kumpendekeza na kupitishwa na wajumbe wote waliohudhuria
kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa NEC Ikulu jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Chama cha
Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally akiwa meza kuu mara baada ya kupitishwa na
wajumbe wote waliohudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa NEC Ikulu jijini
Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally wapili kutoka kulia kwenye
meza kuu kupitishwa na wajumbe wote waliohudhuria kikao cha Halmashauri Kuu ya
Taifa NEC Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wajumbe wa NEC
hawaonekani pichani, kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM-Zanzibar, Rais wa
Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM
Dkt. Bashiru Ally
Katibu Mkuu wa Chama cha
Mapinduzi CCM Dkt. Bashiru Ally akiwashukuru Wajumbe wa NEC kwa kumpitisha kuwa
Katibu Mkuu wa Chama Ikulu jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wajumbe mara baada ya
kikao cha NEC Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment