- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Mbunge wa jimbo la Mafinga Mjini
Cosato Chumi akiongea na viongozi wa chama cha mapinduzi jimbo hilo walipokutaka mjini mafinga kuzungumzia changamoto za jimbo hilo na nini kifanyike kutatua changamoto hizo.
Mbunge wa jimbo la Mafinga Mjini
Cosato Chumi akiwa na viongozi mbalimbali wa chama cha mapinduzi
Na Fredy Mgunda,Iringa
MBUNGE wa jimbo la Mafinga Mjini Cosato Chumi amesema kuwa vijiji vyote vya jimbo hilo vitapatiwa umeme wa LEA ambao unafadhiliwa na serikali kwa lengo la kuchochea maendeleo ya wananchi waliopo vijijini
Chumi amewatoa hofu hiyo wananchi
wa jimbo hilo juu ya upatikanaji wa umeme wa LEA wakati alipofanya mkutano na
viongozi wa chama cha mapinduzi wa kata zote wa jimbo hilo.
Lakini mbunge huyo alitoa dira
ya muelekeo wa jimbo hilo kimaendeleo kwa kuwakumbusha wapi walikotoka na wapi
wanaendelea
Comments
Post a Comment