- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
TANGA UWASA ,JUIN COMPAY LIMITED WAINGIA MKATABA WA MAKUBALIANO KUTEKELEZA MRADI WA MAJI WILAYANI LUSHOTO
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya
Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram
Phares kushoto akisaini mkataba wa kutekeleza mradi wa Maji wilayani
Lushoto na Mkandarasi wa mradi huo Justice Kato kutoka kampuni ya Juin
Company Limited Civili&Building Contractors ambao
utagharimu milioni 700 wanaoshuhudia nyumba kushoto ni Mbunge wa Jimbo
la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi almaarufu Bosnia.
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi
wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares kushoto
akisaini mkataba wa kutekeleza mradi wa Maji wilayani Lushoto na
Mkandarasi wa mradi huo Justice Kato kutoka kampuni ya Juin Company
Limited Civili&Building Contractors ambao utagharimu milioni 700 wanaoshuhudia nyumba kushoto ni
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia

wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares na Mkandarasi Justice Kato kutoka kampuni ya Juin Company
Limited Civili&Building Contractors ambaye
atatakeleza mradi wa maji wilayani Lushoto mbao utagharimu milioni 700
wakibaliashana hati za makubaliano mara baada ya kusaini mkataba
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi
wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares na Mkandarasi Justice Kato kutoka kampuni ya Juin Company
Limited Civili&Building Contractors ambaye
atatakeleza mradi wa maji wilayani Lushoto mbao utagharimu milioni 700
wakionyesha hati za makubaliano mara baada ya kusaini mkataba
Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya
Maji Safi na Usafiri wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi
Aram Phares akizungumza wakati wa utiliaji saini wa makubaliano hayo
kulia ni Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM)
Shabani Shekilindi almaarufu Bosnia akizungumza wakati wa utiliaji
saini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa maji wilayani Lushoto
kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafiri wa
Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares
Mkandarasi Justice Kato kutoka Kampuni ya Juin Company
Limited Civili&Building Contractors ambaye
atatakeleza mradi wa maji wilayani Lushoto ambao utagharimu milioni 700
akizungumza katika wa utiliaji saini wa makubaliano ya mkataba halfa
iliyofanyika mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga
(Tanga Uwasa)
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi alimaarufu Bosnia katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa mamlaka ya maji safi na usafiri wa mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Mhandisi Aram Phares kushoto ni Mkandarasi wa ambaye atatekeleza Mradi wa Maji wilayani Lushoto kutoka kampuni ya Juin Company Limited Civili&Building Contractors Justice Kato
Mbunge wa Jimbo la Lushoto (CCM) Shabani Shekilindi kulia akiagana na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jijini Tanga (Tanga Uwasa) Mhandisi Aram Phares

Comments
Post a Comment