- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Anwaniya
Posta
MWENYEKITI,
TAHLISO.
P.O.BOX
2920,
DAR ES
SALAAM-TANZANIA
|
JUMUIYA
YA TAASISI ZA VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA
(TAHLISO)
OFISI YA
MWENYEKITI TAHLISO
TAARIFA
KWA UMMA
Nduguwaandishiwahabaritunawashukurusanakwakukubaliwitowetuwakujakujumuikapamojanasisi.
Leo tarehe 3/3/2018 tumekuta na viongozi wa vyuo vikuu nchi nzima kwa
ajili yakujadili changamoto zinazotukabili.
Kikao hiki ni cha TAHLISO BarazaKuu (SENATE) kinacho husisha Maraisi
wa serikali za wanafunzi wa
VyuoVikuunchini.
Tunatambuakwambakunakifo cha
mwanafunzi mwenzetu Akwilina Akwilini,mwanafunziwachuo cha NIT
kilichotokea mwezi wa
pili. Tunawashukuruwanafunziwenzetukwautulivumkubwanamshikamanowaliouoneshatangumsibaulipotokea,
wakatiwakipindi cha majonzihadikufikiasasa.
TunamshukuruMhe.Raisi
wa Jamuhuri ya Muunganowa
Tanzania
kwa kuingilia kati suala hili na kuagiza uchunguzi ufanyike na hatua za
kisheria zichukuliwe kwa wote watakaobainika kuhusika na kifo
cha AkwilinaAkwilini.
VileviletunaishukuruWizarayaElimu,
Sayansi na Teknolojia kwa ukaribu waliouonesha katika kipindi chote cha
msiba.Tunaomba wanafunzi waendelee kuwa watulivu wakati maagizo yaMh.
Raisi yakitekelezwa.
Aidha tunapenda
jamiii tambue kuwa TAHLISO
ndio chombo kikuu cha kuwasemea wanafunzi wote nchi nzima Tanzania
na sio kikundi kingine chochote kile.
Vipovikundivingivimejitokezanakutoamatamkombalimbalibaadayakifohikikutokea,
vikundivinginevikaendambali Zaidi kwakuwataka baadhiya watendajiwa
Serikali akiwemo
Waziri wa Mambo yaNdani kujiuzulu jambo ambalo linaashiria vikundi
hivyo kuongozwa ama kutumika namakundiyakisiasa,
haiwezekani kutaka watendajiwa Serikali wajiuzulu wakati uchunguzi
bado unafanyika na matokeoya uchunguzi huo bado
hayajatoka.
Sehemu ya
Marais wa Vyuo Vikuu nchini wakiwa kwenye mkutano huo
Jambo la kusikitisha
Zaidi
kuna baadhi ya vikundi vimejitangaza kwamba vinaungwa mkono na Maraisi
waVyuoVikuu jambo ambalo sio
la kweli, Marais wote waVyuo Vikuu tuko hapa
Dodoma tunaendelea na vikao vyetu vya kujadili changamoto
zinazowakabili wanafunziwa
VyuoVikuu.
Tunatoa wito kwa
vikundi vyote vinavyojihusisha nakutumia mwamvuliwa
Marais waVyuoVikuu kama kinga yao ili kuu hadaaUmma kwamba wanaungwa Mkono,
vikundi hivyo viache tabia hiyo vinginevyo tutawachukulia hatua za
kinidhamu.
TAHLISO
tunasubirimatokeoya Uchunguzi unaofanyika juu ya kifo cha
Akwilina na tunaimani wahusika wote watachukuliwa hatua kali
zakisheria.
Tunawaombawanafunzi
wote tuendelee kuwa watulivu wakati tukisubiri matokeo hayo na
kujiepusha na maandamano na vitendo vyovyot e vitakavyo sababisha
uvunjifu wa
Amani nakuleta mgawanyo miongoni mwawanafunzi.
Hata
hivyo namna bora
yakufikisha hoja nikutumia njia ya majadiliano kama wasomi badala ya
kutumia nguvu ama maandamano kwakutofuata taratibu na madhara yake ni
kusababisha vuruguzi sizotakiwa na hatimaye kuhatarisha usalama na hivyo
kuathiri jamii kwaujumla
wake.
Vurugu zozote
zitokanazo kwakutozingatia taratibu zinaweza kudhorotesha shughuli za
kiuchumi kwa
mtu mmoja mmoja na Uchumiwa Taifa letu.
Vile vile zinapoteza mvuto kwawawekezaji wanje na wandani,
ikiwemo shughuli za utalii nchini ambazo zinachangia pato la Taifa
letu.
Athariza
Vurugu na kukosekana kwa amani zipo wazi natunaziona kwa nchi nyingine
zikiwemo baadhi ya nchi jirani zetu ambao wamekua wakimbizi nchini kwetu
kila siku.
Tunaona kuwa kama
wanataaluma tunajukumu kubwa
la kuelimisha jamii na kuwamfano bora
wakutumia njia za majadiliano katika kujenga hoja zetu ilizitatuliwe
kuliko kutumia njia ya maandamano
au vurugu zisizo na ulazimawowote.
Taasisi hii ndio
yenye dhamana ya kutetea nakusimamia maslahi ya wanafunzi wote wa vyuo
na vyuovikuu
Tanzania na si vinginevyo.
………………………………….
GEORGE ALBERT
MNALI
MWENYEKITI
TAHLISO
Comments
Post a Comment