- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI CAG KWA MWAKA WA FEDHA UNAOISHIA TAREHE 30 JUNE 2017
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
(CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
(CAG) mezani kwake mara baada ya kuzipokea kutoka kwa CAG Profesa Mussa Assad
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati akitolea ufafanuzi baadhi ya
hoja zilizowasilishwa katika taarifa
hiyo ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akipiga makofi wakati viongozi wa Kamati mbalimbali za Bunge walipokuwa wakizungumza mara baada ya
uwasilishwaji wa taarifa hiyo ya CAG.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimkabidhi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa ajili ya kwenda kuifanyia kazi pamoja na
Mawaziri, Manaibu Waziri, Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi mbalimbali za
Serikali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimpongeza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)
Profesa Mussa Assad mara baada ya kupokea Ripoti yake Ikulu jijini Dar es
Salaam. Katikati ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Baadhi ya Mawaziri
waliohudhuri katika tukio la uwasilishwaji wa Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG
wakifatilia kwa makini taarifa hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiagana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mara baada ya kupokea Taarifa
ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG) Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad pamoja na wafayakazi mbalimbali kutoka
katika Ofisi yake mara baada ya kuwasilisha taarifa hiyo ya ukaguzi wa hesabu
za Serikali kwa mwaka unaoishia tarehe 30 Juni 2017, Ikulu jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment