- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI, MHE. LUHAGA MPINA ASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMAS KWA KUFANYA SHUGHULI ZA KILIMO SHAMBANI KWAKE
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Waziri wa
Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akishiriki
kusafisha shamba lake la mpunga lililoko Kijiji cha Dalla mkoani Morogoro
alipokuwa kwenye wa mapumziko ya sikukuu ya Krismas
leo.
Waziri wa
Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akishirikiana na wafanyakazi wake kusafisha
shamba lake liliko Kijiji cha Dalla mkoani Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya
kupanda mpunga leo wakati wa mapumziko ya sikukuu ya
Krismas.
Moja ya
matrekta yaliyoko katika shamba la Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe Luhaga Mpina
yakiendelea na shughuli za kulima kwa ajili ya maandalizi ya kupanda mpunga
wakati Waziri huyo (hayupo pichani) alipokwenda kushiriki shughuli za shamba
wakati wa mapumziko ya sikukuu ya Krismas leo.(Habari kwa Hisani ya
Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
Comments
Post a Comment