- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
KIWANDA CHA SARUJI TANGA (SIMBA CEMENT) YATOA MIFUKO 760 KUCHANGIA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA SHULE YA MSINGI PONGWE JIJINI TANGA
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Thobias
Mwilapwa akipanga tofali kwenye msingi wa ujenzi wa vyumba vitatu vya
madarasa katika shule ya msingi ya wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi
(Albino) na wasioona ya Pongwe Jijini Tanga ambapo Kampuni ya Simba
Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba
hivyo.
Mkurugenzi Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kulia akijenga tofati katika vyumba vipya
vitatu vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya
ya wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na wasioona ya Pongwe Jijini Tanga ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga, Thobias Mwilapwa.
ya wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na wasioona ya Pongwe Jijini Tanga ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga, Thobias Mwilapwa.
Mkurugenzi Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kulia akiweka tofati katika vyumba vipya
vitatu vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya
ya wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na wasioona ya Pongwe Jijini Tanga ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga, Thobias Mwilapwa.
ya wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na wasioona ya Pongwe Jijini Tanga ambapo Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa vyumba hivyo kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Tanga, Thobias Mwilapwa.
Mkurugenzi
Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kulia akiweka sawa tofati katika msingi wa moja
ya vyumba vipya vitatu vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya
ya
wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) na wasioona ya Pongwe
Jijini Tanga ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
Mkurugenzi Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kulia akimuelekeza jambo mmoja wa wakandarasi
watakaojenga vyumba vitatu vya madarasa katika shule
ya
wanafunzi wenye maahitaji maalumu ikiwemo wasiona na wenye ulemavu wa
ngozi (Albino) ya Pongwe Jijini Tanga ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
Mkurugenzi
Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kulia akiweka sawa tofati katika msingi wa moja
ya vyumba vipya vitatu vya madarasa kwenye shule ya Msingi ya
ya
wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi (Albino) ya Pongwe Jijini Tanga ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias
Mwilapwa akizungumza katika halfa hiyo iliyofanyika leo kwenye shule ya
Msingi Pongwe Jijini Tanga
Mkurugenzi Kiwanda cha Saruji cha Simba Cement cha Tanga (TTCL), Reinhardt Swart akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi huo leo |
Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Pongwe Yahaya
Mafita mara baada ya kutoa hotuba fupi katika uzinduzi huo leo
ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo ambapo aliishukuru kampuni hiyo kwa kuthamini juhudi
za kuinua elimu
Diwani wa Kata ya
Pongwe(CCM),Mbaraka Sadi akizungumza katika uzinduzi huo
ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
Mkurugenzi
Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart kushoto akipongezwa na Mwalimu Mkuu wa shule ya
Msingi Pongwe Yahaya Mafita mara baada ya kutoa hotuba fupi katika
uzinduzi huo leo ambapo
Kampuni ya Simba Cement imetoa mifuko 760 kwa ajili ya kuchangia ujenzi
wa vyumba hivyo
Mkurugenzi
Kiwanda cha Saruji cha Simba
Cement cha Tanga
(TTCL), Reinhardt Swart katikati akifuatilia uzinduzi wa ujenzi wa
vyumba vya madarasa kwenye shule hiyo uliofanywa leo na Mkuu wa wilaya
ya Tanga,Thobias Mwilapwa kushoto ni
Afisa Uhusiano wa Simba Cement Noor
MtangaHabari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha
Comments
Post a Comment