- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
DKT MNDOLWA,MAJI MAREFU WAUNGURUMA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA KWAGUDA KOROGWE WAWATAKA WANANCHI KUIPA KURA ZA KISHINDO CCM
Posted by
Maendeleo Vijijini
on
- Get link
- X
- Other Apps
Msafara wa Mwenyekiti wa Jumuiya
ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa ukitoka Korogwe mjini kuelekea Kata
ya Kwagunda Jimbo la Korogwe Vijijini kwa ajili ya uzinduzi wa kampeni
za udiwani wa Kata hiyo ambapo Dkt Mndolwa alikuwa mgeni ramsi gari yaa
mbele inayongoza msafara huo ni ya Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini
(CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu.
Msafara wa Mwenyekiti wa Jumuiya
ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa ukiwasili eneo la Kijiji cha Mkokola
Kata ya Kwagunda ambapo kulifanyika uzinduzi wa kampeni za udiwani wa
kata hiyo baada ya aliyekuwa diwani wa kata hiyo kufariki
dunia
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi
Taifa,Dkt Edmund Mndolwa akisalimiana na wananchi wa Kijiji cha Mkokola
Kata ya Kwagunda mara baada ya kuwasili kuzindua kampeni za udiwani
kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Korogwe VijijiniMwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa akisaliana na wananchi waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kampeni hizo mara baada ya kuwasili kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Allan Kingazi
Meza kuu katikati ni
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa akiangalia vikundi
vilivyokuwa vikitoa burudani wakati wa uzinduzi huo kushoto ni
Mwenyekiti wa CCM Korogwe Mjini,Charles Emanuel na Mbunge wa Jimbo la
Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu
na MNEC na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa
Mbunge wa Jimbo la Korogwe
Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu na MNEC
na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa akiangalia taarifa mbalimbali
kabla ya kuanza kwa uzinduzi wa kampeni hizo
Sehemu ya wana CCM na wananchi wa
Kijiji cha Mkokola wakifuatilia uzinduzi huo aliyevaa shati katika ni
Diwani wa Kata ya Majengo(CCM) Mustapha
Mbunge wa Jimbo la Korogwe
Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu na MNEC
na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa kushoto akifurahia jambo na
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa wakati wa
uzinduzi huo katika ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Korogwe mjini,Charles
Emanuel
Vikundi vya burudani
vikiendelea kutoa burudaani wakati wa uzinduzi
huo
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi
Taifa,Dkt Edmund Mndolwa mbele akiwa na Mbunge wa Jimbo la Korogwe
Vijijini na MNEC na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa Stepheni
Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu wakitunza kikundi cha maigizo
wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo kulia ni Katibu wa CCM Mkoa wa
Tanga,Allan Kingazi
Mbunge wa Jimbo la Korogwe
Vijijini na MNEC na Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa Stepheni
Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu wakitunza kikundi cha maigizo
wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo
Katibu wa CCM Korogwe
mjini,Ally Issa akitunza kikundi cha maigizo katika uizunduzi
huo
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi
Taifa,Dkt Edmund Mndolwa wa tatu kutoka kushoto akifuatilia matukio
mbalimbali wakati wa uzinduzi huo wa pili ni Mwenyekiti wa CCM Korogwe
mjini,Emanuel Charles na Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM)
Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu
Katibu wa CCM Mkoa wa
Tanga,Allan Kingazi kushoto akicheza wimbo na Msanii Dkt Njau wakati
wa uzunduzi wa kampeni hizo
Msanii wa Singeli
akitumbuiza katika kampeni hizo Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu (MNEC) na Mjumbe wa baraza Kuu la wazazi Taifa akizungumza katika uzinduzi wa kampeni hizo ambapo aliwataka wananchi kumuunga mkono mgombea wa CCM kwa kumpa kura za kishindo
Mwenyekiti wa CCM Korogwe
mjini,Emanuel Charles akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni
hizo
Mbunge wa Jimbo la Korogwe
Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu
akiinguruma katika kampeni hizo ambapo aliwataka wananchi kumchangua
mgombe wa CCM ili waweze kushirikiana nae kuwapa maendeleo
Mbunge wa Jimbo la
Korogwe Vijijini (CCM) Stephen
Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akiinguruma katika kampeni hizo
ambapo aliwataka wananchi kumchangua mgombe wa CCM ili waweze
kushirikiana nae kuwapa maendeleoMbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stephen Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akiinguruma katika kampeni hizo ambapo aliwataka wananchi kumchangua mgombe wa CCM ili waweze kushirikiana nae kuwapa maendeleo
Mbunge wa Jimbo la Korogwe
Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu (MNEC)
na Mjumbe wa baraza Kuu la wazazi Taifa kushoto akimnada mgombea udiwani
kata ya Kwagunda
Diwani wa Kata ya Majengo
(CCM) Mustapha akiwasalimia wananchi katika uzinduzi
huo
Msanii Dkt Njau
akisailimia wananchi
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi
Taifa,Dkt Edmund Mndolwa akimnadi Mgombea udiwani wa Kata ya Kwagunda
Saidi Shenkawa wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi
Taifa,Dkt Edmund Mndolwa kulia akiwa na Katibu wa CCM mkoa wa
Tanga,Allan Kingazi kushoto wakiondoka eneo la mkutano mara baada ya
kumalizika(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii ya Tanga Raha)
Comments
Post a Comment