- Get link
- X
- Other Apps
Featured Post
Posted by
Unknown
on
- Get link
- X
- Other Apps
Mgeni Rasimi kwenye Washa ya Klabu ya wafanyabiashara wadogowadogo na mawakala wa Benki ya NMB Mkoa wa Kilimanjaro, Sebastian Masanja Katibu tawala msaidizi toka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, akizungumza na washiriki wa warsha hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Kuringe Mjini Moshi.
Mkurugenzi Mkuu wa Mikopo wa Benki ya NMB Tanzania Tom Borghols, akizungumza na washiriki wa Warsha ya Klabu ya wafanyabiashara wadowadogo na mawakala wa NMB Mkoa wa Kilimanjaro, warsha hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Kuringe Holl Mjini Moshi.
Makamu mwenyekiti wa Klabu ya NMB ya Wafanyabiashara Mkoa wa Dodoma, Asha Mamu akitoa maelezo wakati wa ufunguzi wa warsha ya siku moja ya wafanyabiasha wa Mkoa wa Dodoma iliyofanyika mjini Dodoma, warsha hiyo ililenga kuwajengea uwezo wafanyabiashara wa Benki ya NMB Mkoa wa Dodoma.
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati, Straton Chilongola akitoa taarifa ya lengo la Benki ya NMB kuwakutanisha wafanyabiashara Mkoa wa Dodoma kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kufungua warsha hiyo.
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Kati, Straton Chilongola (kulia) akimkaribisha mgeni rasmi mkuu wa Wilaya ya Dodoma Christian Mndeme kwa ajli ya kufungua warsha ya siku mojo ya Klabu ya NMB ya wafanyabiashara Mkoa wa Dodoma ya kuwajengea uwezo wa kibiashara.
Comments
Post a Comment