Featured Post

CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MOSHI (MoCU) CHATOA ELIMU YA USHIRIKA KWA WAANDISHI WA HABARI.

Makamu Mkuu wa Cho Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU), Prof. Faustine Bee akizungumza wakati wa ufunguzi wa Warsha ya siku moja ya Elimu ya Ushirika kwa Waaandishi wa Habari wa mkoa wa Kilimanjaro.

Baadhi ya Watumishi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) wakishiriki warsha hiyo.
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifuatilia hotuba ya ufunguzi ilitolewa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) katika Warsha ya siku moja iliyofanyika chuoni hapo.
Naibu wa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi(MoCU) Taaluma Dkt,Kitala Malamsha akizungumza wakati wa ukaribisho wa mgeni rasmi katika ufunguzi wa warsha ya siku moja ya Elimu ya Ushirika kwa Waandishi wa Habari.
Baadhi ya Watumishi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) wakifuatilia mijadla katika warsha hiyo.
Washiriki wa Warsha ya Elimu ya Ushiriki kwa Waandishi wa Habari wakiwa katika picha ya pamoja na Mgeni rasmi Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) Prof ,Faustine Bee.

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

Comments