Baraka DaPrince akitumbuiza mbele ya umati wa wakazi wa Mbeya waliojitokeza katika tamasha la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia Jumapili.
Benpol katika jukwaa la Tigo Fiesta usiku wa kuamkia ijumaa
JohMakini akitumbuiza katika tamasha la Tamasha la tigo fiesta
Jux
Wasanii Man Fongo na Shilole wakitoa burudani ya singeli kwenye tamasha la Tigo fiesta lililofanyika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya usiku wa jumapili
Mr blue akitumbuiza umati wawakazi wa Mbeya waliojitokeza katika viwanja vya Forest Mbeya
Msanii Msami akiwa amemnyanyua mcheza shoo wake stejini kuonyesha uwezo wake wa kumiliki jukwaa kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya usiku wa jumapili.
Wasanii Roma Mkatoliki na Stamina wakionesha umahiri wao wa kufokafokakwakupokezana kwenye tamasha la Tigo fiesta lililofanyika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya usikuwa jumapili.
Mashabiki wakimshangilia Roma Mkatolili
Maelfu ya wakazi wa Mbeya wakifurahia burudani toka kwa wasanii waliotumbuiza katika Tamasha la Tigo Fiesta
Comments
Post a Comment